# Watumishi Petro anazungumza na waumini ambao ni watumishi katika nyumba ya mtu. # wale wabaya "watu wenye ukatili" au "watu wanaomaanisha" # ni sifa nzuri "inafaa sifa" au "inampendeza Mungu"