# nyama zote ni kama nyasi "watu wote wataangamia kama majani huharibika." (UDB) # Utukufu wake wote ni kama maua ya nyasi "na ukuu wote ambao watu wanao hautaendelea milele." (UDB) # ujumbe ambao uliotangazwa "ujumbe ambao tuliutangaza."