# Kama utarudi salama Hii ineleza kitu ambacho kwa hakika hakitatokea. BWANA alikuwa amemwambia Mikaya keamba mfalme hatarudi salama.