# BWANA akaisikiliza sauti ya Eliya "BWANA akajibu maombi ya Eliya" # uhai wa mtoto ukamrudia, na akawa hai. "mtoto akarudia uhai wake" # chumbani kwake "kwake" Eliya # Tazama, mwanao yuko hai Neno "Tazama" linatuandaa kuwa makinii kwa taarfa ambazo ziinafuata. # Neno la BWANA kinywani mwako ni la kweli "Neno" linawakilisha ujumbe. Pia "kinywani" linamaanishsa kile Eliya alichosema kutoka kwa BWANA ni cha ukweli"