# Neno la BWANA lilimjia Tazama 6:11 # Neno la BWANA Neno linawakilisha ujumbe wa wa BWANA. "ujumbe wa BWANA" # Kerithi Hili ni jina la kisima kidogo. # Nawe utakunywa Kirai hiki kimetumika kuonyesha kuwa BWANA atamtunza Eliya wsakati wa ukame. "kule" # kunguru ndege wakubwa, weusi