# akafanya maovu mbele ya BWANA "yaliyokuwa maovu mbele ya macho ya BWANA" # akatembea katika njia zote za Yeroboamu mwana wa Nebati "Akafanya mambo yaleyale ambayo Yeroboamu mwana wa Nebati alifanya" # ilI kumkasirisha BWANA ... kuwa na hasira juu yasanamu zao za ubatili Tazama 16:11