# kwa nini unajifanya kuwa mtu mwingine? Acha kujifanya kuwa mtu mwingine;Mimki najua kuwa wewe ni nani? # Nimetumwa kwako nikiwa na habari mbaya "BWANA ameniambia nikwambie habari mbaya" # Niliugawa ufalme Mungu aliugawa ufalme kama vile mtu achanavyo kipande cha nguo.