# kidole changu kidogo ni kinene kuliko kiuno cha baba yangu Maana yake ni kwamba Rehoboamu ni mkali na mwenye kuogofya kuliko baba yake. # Baba yangu aliwaadhibu kwa mijeredi, lakini mimi nitawaadhibu kwa nge Hii inamaanisha kuwa adhabu ambayo Rehoboamu ataitoa ni mbaya kuliko alitoa baba yake. # nitawaadhibu kwa nge Neno "nge" linaweza kumaanisha 1)mjeredi wenye ncha za vyuma, au 2) kiumbe mwenye mkia wa sumu.