# Mtu hodari na shujaa Inaweza kumaanisha 1) "shuja mkuu" 2) "mtu mwenye uwezo mkubwa" au 3)mtu tajiri na mwenye ushawishi." # akampa kuwa na mamlaka "akamfanya kuwa kamanda"