# Daudi alipokuwa Edomu ... Hadadi alipokuwa mtoto mdogo Hii ni habari ya historia iliyotokea hapo kale. # Yoabu na Israeli yote "Yoabu na jeshi lote la Israeli" # Hadadi alichukuliwa na Waedumu wengine na watumishi wa baba yake "watumishi wa baba wa Hadadi walimchukua pamoja na Waedomu wengine"