# waliokuwa wamenunuliwa kutoka Misri "amabao wachuuzi wake waliwanunua Misri" # Magari yalinunuliwa "Wachuuzi wake walinunua magari" # kwa shekeli mia sita za fedha ... shekeli 150 Shekeli moja ina uzani wa ulioswa na gramu 11. "karibu sawa na kilo 6.6 za fedha ... sawa na kilo 1.7" # Vitu vingi katika hivi baadaye viliuzwa "Wachuuzi wake baadaye waliviuza vitu hivi"