# Kulikuwa na mataruma manne katika pande zake nne za makaliio "Kulikuwa na mataruma katika kila upande wa kalio" # kina cha sentimita ishirini na tatu sentimita ishirini na tatu ni sawa na "nusu ya dhiraa moja" # na juu ya makalio mashikio yake na papi zakae zikawa zimeshikanishwa "Huramu alishikamanisha mashikio yake na papi na juu ya kila kalio"