# magurudumu ya shaba na vipini, na pande zake nne kulikuwa na pini moja kwa kila jozi yamagurudumu. "magurudumu manne napini mbili" # pande zake nne "pande nne za kila kwa kila kalio" # Chini ya birika yalikuweko mataruma ya kusubu yenye masongo "Huramu aliweka mataruma yenye vipande vya sura ya masongo" # na ile taji ilikuwa Neno "taji" inamaanisha kipande cha mviringo kilichokuwa kimesimama wazi ili kibebe yale makalai. # na papi zake zilikuwa za maraba Tazama 7:27