# ufahamu na upana wa kuelewa kama mchanga wa baharini Ule ukubwa wa uelewa wa Sulemani umefananishwa na mchcanfa wa baharini, ambao kimsingi hakuna awezaye kuuhesabu # watu wote wa mashariki Hii inamaanisha nchi zilizokuwa mashariki mwa nchi ya Israeli kama vile Arabia na Mesopotamia. # Etheni ... Hemani ... Kaliko Darda... Maholi Haya ni majina ya wanaume