# Taarifa kwa ujumla Sulemani anajibu swali la Mungu # Umeonesha uaminifu wa agano mkuu "Umekuwa mwaminifu kwa makubaliano yako" # kwa sababu alitembea mbele yako kwa ukweli na uaminifu, katika haki ya moyo "kwa sababu alikuwa mwaminifu, mwenye haki na mkweli" # kuketi kwenye kiti chake cha enzi "kutawala mahali pake"