# Taarifs kwa ujumla Adoniya anamwogopa mfalme Sulemani # Wakasimama "Walianza kufanya mabo yao haraka" # Adoniya ... akasimama kisha "Adoniya kwa haraka" # Adoniya ... akachukua pembe la madhabahuni "pembe la madhabahuni" inaonyesha ulinzi wa BWANA. # amemwogopa mfalme Sulemani "anakuogopa, Mfalame Sulemani" # hatamwua mtumishi wake "hataniua"