# ndama walionona "ndama waliokuwa wamepewa chakula cha kutosha ili wanenepe" au "ng'ombe wachanga waliokuwa wameandaliwa kwa ajili ya sadaka" # jiwe la Sohelethi Hili ni eneo lenye mwamba lililokaribu na Yerusalemu. # Eni Rogeli Hili liliuwa jina la kisima ambacho watu walipata maji # ndugu zake wote, watoto wa mfalme virai hivi viwili vinamaanisha kitu kilekile # wanaume wote wa Yuda, na watumishi wa mfalme Virai hivi viwili vinamaanisha jambo lilelile.