# Maelezo ya Jumla Maneno "yeye" na "Aliye" humrejea Yesu Kristo # Mwana wa Mungu Hiki ni cheo muhimu kwa Yesu ambacho huelezea uhusiano wake kwa Mungu. # ametupatia ujuzi "ametuwezesha kumwelewa huyo kweli" # uzima Hapa, neno "uzima" husimama kwa niaba ya haki ya kuishi milele kwa neema na pendo la Mungu. Tazama maelezo katika1:1. # Yeye ni... uzima wa milele hili linasimama kwa niaba ya wazo kwamba Kristo hutupatia uzima wa milele. # Watoto Yohana alitumia maelezo haya kuonyesha kuonyesha upendo wake kwa ajili yao. : "Watoto wangu katika Kristo" au "ninyi mlio wapendwa kwangu kama watoto wangu mwenyewe." Tazama lilivyotafsiriwa katika 2:1.