# ndugu Mwamini mwenza # uzima "uzima" hapa husimama bada ya haki ya kuishi milele kwa neema na pendo la Mungu. Tazama 1:1 # Mauti hii humanisha hauti ya milele, yaani, kutumia muda wote mbali na uwepo wa Mungu.