# Sentensi Unganishi Tangu hapa hata sura inayoofuata, Yohana naaandika kuhusu ushirika - uhusiano wa karibu pamoja na Mungu na aamini wengine. # Maelezo ya Jumla Hapa maneno "sisi" na "yatu.." humaanisha waaminio wote, kumlisha watu ambao Yohana alikuwa akiwaandikia. Ispokuwa imetamkwa vinginevyo, hiyo ndiyo maana kwa ukumbusho wa kitabu hiki. # Mungu ni nuru Hii humaanisha kwamba Mungu ni safi na mtakatifu kikamilif. Zile tamaduni zinahusianisha weme na nuru zinaweza kulishika wazo hili bila ya kulifafanua fumbo lenyewe. "Mungu ni kwa uhalisia Mungu ni mwenye haki na kama nuru halisi" # ndani yake hakuna giza hata kidogo Hii humaanisha kwamba MUngu hawezi kutenda dhambi na siyo mwovu kwa namna yo yote.Zile tamaduni zinahusianisha uovu na giza zinaweza kulielewa wazo hili bila kulielezea fumbo lenyewewe. : "Ndani yake hakuna giza la dhambi" # twatembea gizani, Hii humaanisha "kujizoweza uovu na kutenda uovu" # damu ya Yesu Kristo, Hii hurejelea kifo cha Yesu. # Mwanawe Cheo hiki ni muhimu kwa Yesu, Mwana wa Mungu.