# yeyote mtakayemchagua Paulo anawajulisha kanisa kwamba wanaweza kuteua baadhi ya watu miongoni mwao ili kupeleka sadaka zao Yerusalemu. "yeyote mtakaye mchagua" au " watu mtakaowateua" # nitamtuma pamoja na barua Maana inayowezekana ni: 1) "Nitatuma na barua ambayo nitaiandika" au 2) "Nitatuma na barua ambayo mtaiandika."