# Sentensi unganishi Paulo anataka wajue kuwa baadhi ya waumini hawatakufa kimwili bali watapata mwili wa ufufuo kupitia ushindi wa Kristo # kwamba mwili na damu haviwezi kuurithi ufalme wa Mungu maana zinazokubalika ni: 1) sentensi zote mbili zinamaanisha jambo moja. " Mwanadamu ambao watakufa kabisa hawawezi kuurithi ufalme wa Mungu unaodumu daima" au 2) sentensi ya pili inakamilisha lile wazo linalotangulia hapo mwanzo, kuwa " wanadamu waliodhaifu hawawezi kuurithi ufalme wa Mungu. Wala ambao watakufa hawataweza kuurithi ufalme wa Mungu ambao utadumu milele" # mwili na damu Ni wale wanafuata tabia za mwili uliohukumiwa kufa. # kurithi tutabadilishwa wote Ni hali ya kupokea mambo ambayo Mungu ameahidi kwa waumini na Paulo anazungumzia jambo hili kama vile mtu anavyopata urithi wa mali na utajiri kutoka kwa mwanafamilia : "Mungu atatubasilisha sisi sote" # wakuharibika...wakutoharibika "unaoweza kuoza....usioweza kuoza wala kuharibika" # wote tutabadilishwa Hii inaonyesha hali tendaji kuwa " Mungu atatubadilisha sisi sote"