# wakae kimya hapa inaweza kumaanisha 1) achani kunena 2) acheni kunena wakati mtu anapotoa unabii au 3) kaeni kimya kabisa wakati wa ibada kanisani # Je neno la Mungu lilitoka kwenu? Je limewafikia ninyi tu? Paulo anasisitiza kwamba mapenzi ya Mungu kwa Wakristo hakifahamiki kwa waumini wa Korintho peke yake. Kwa maneno mengine ni kusema " Neno la Mungu halikutoka kwenu hapo Korintho; ninyi siyo watu pekee munaofahamu mapenzi ya Mungu.