# Yeye atoaye unabii ni mkuu Paulo anasisitiza kuwa karama ya kutoa unabii ni kuu zaidi kuliko karama ya kunena kwa lugha. kwa maneno mengine "Anayetoa unabii karama yake ni kuu zaidi" # tafasiri Hii inamaanisha kufafanua kile anachosema mtu kwa lugha isiyofahamika kwa wengine. au kueleza maana za maneno kutoka lugha moja kwenda lugha nyingine # nitawafaidia nini ninyi kwa maneno mengine "Sitawasaidia" au " nitakuwa sijafanya jambo lolote la kuwasaidia"