# Sentensi Unganishi Paulo anaendelea kusema juu ya karama ambazo Mungu amewapa waumini , Mungu ametoa karama mbalimbali kwa waumini tofauti tofauti, lakini pamoja na hilo waumini wamefanywa kuwa mwili mmoja , ambao unaitwa mwili wa Kristo. Kwa sababu hii waumini wanapaswa kuwa na umoja. # katika Roho mmoja sisi sote tulibatizwa kuwa mwili mmoja, kwamba tu Wayahudi au Wa Hapa inaweza kumaanisha 1) Roho mtakatifu ndiye anayetubatiza, " kwa Roho moja tunabatizwa" or 2) Roho ni kama maji ya ubatizo ni njia iliyotumika kutubatiza kuwa mwili mmoja, " katika Roho moja tulibatizwa" # wote walifanywa kunywa kwa Roho mmoja "Mungu alitupa sisi sote Roho mmoja, na tunashiriki Roho kama watu wawezavyo kushiriki kinywaji" # wote tulinyweshwa Roho mmoja Hii inaweza kuelezewa katika muundo wa kitenzi "Mungu ametupatia Roho mmoja, na tunashiriki katika Roho huyo kama watu wanavyo weza kushiriki kinywaji cha aina moja"