# Kwa maana nilipokea kutoka kwa Bwana kile ambacho nimewapa ninyi ya kuwa Bwana " kwa kuwa nilichosikia kutoka kwa Bwana ndicho niliwaambia ninyi, na ilikuwa hivi: Bwana" # usiku ule aliposalitiwa kielezwa kwa muundo tenda: "usiku ule Yesu aliposalitiwa na Yuda Iskariote " # aliuvunja " aliupasua mkate katika vipande vidogo vidogo" # Huu ndio mwili wangu "Mkate ninaoshikilia ni mwili wangu"