# Sentensi Unganishi Paulo anawakumbusha tena kuhusu sheria ya uhuru na kufanya kila kitu kwa faida ya wengine # Vitu vyote ni halali, Hapa inaweza kumaanisha 1) Paulo pengine anatoa majibu kutokan na mawazo wanayofikiria Wakorintho " wengine wanasema, 'Naweza kufanya jambo lolote'" au 2) Paulo anasema kile anachodhani ni kweli, " Mungu ameniruhusu nifanye kila kitu." # viwajengavyo watu. "wasaidie watu"