# hakupendezwa sana "kutofurahishwa" au "hasirishwa" # wengi wao " Mababa wa waisraeli" # maiti zao zilisambazwa "Mungu alitawanya maiti katika eneo lile" au "Mungu aliwaua na kutawanya maiti za miili yao" # jangwani eneo la jangwa kati ya Misri na Israeli wakopitia Wisraeli katika safari yao ya miaka 40