# Kila mmoja "Kila muumini" # Hii ni kawaida kwa kila kanisa Paulo alikuwa anafundisha waumini katika makanisa yote kufuata katika njia hii. # yeyote alikuwa ametahiriwa alipoitwa kuamini. Paulo alikuwa anafikisha ujumbe utahiriaji(Wayahudi) "Kwa waliotahiriwa, Mungu alipowaita kuamini, Mlikuwa tayari mmetahiriwa." # Yeyote alipoitwa kwa imani alikuwa hajatahiriwa. Paulo alikuwa sasa anafikisha ujumbe kwa wale walikuwa hawajatahiriwa. "Kwa waliokuwa hawajatahiriwa ,Mungu alipowaita kuamini, mlikuwa bado kutahiriwa."