# wasioolewa Hawa ni wale ambao hawajaolewa. # wajane " wanawake walifiwa na waume wao" # ni vizuri Neno "Vizuri"hapa linaonyesha haki na kukubalika. "Ni haki na kukubalika" # kuwaka tamaa "Kuishi kwa tamaa ya kutaka kulala na mtu fulani"