# Kimbieni kukimbia kimwili kwa mtu kutoka kwa hatari kunafanishwa na kiroho kwa mtu kukataa dhambi. "Toka" # "Kila dhambi ambayo mtu hufanya ni nje ya mwili," lakini uzinzi mtu hutenda dhambi kinyume na mwili wake mwenyewe Dhambi ya uzinzi ni mbaya kwa sababu ni dhambi dhidi ya mwili wa mtenda dhambi # hutenda "kufanya tendo"