# Maelezo ya Jumla Paulo anatumia msemo wa kejeli ili kuwafanya Wakorintho waone aibu na kutambua kuwa walikuwa wakitenda dhambi walipojisifu wenyewe pamoja na kuwasifia walimu wao. # Mungu ametuweka sisi mitume kama kutuonyesha Paulo anaeleza njia mbili jinsi Mungu amekwisha weka mitume kwa kuonyesha wazi kwa ulimwengu uone # ametuweka sisi mitume kama kutuonyesha Mungu ameonyesha wazi mitume kama tu wafungwa wakti wa mwisho wa gwaride la jeshi la Kirumi,ambao tunaabishwa mbele ya kutekeleza kwao. # kama watu waliohukumiwa kuuawa Mungu ameweka mitume kuonyesha wazi kama watu waliotayari kutekelezwa. # kwa ulimwengu, kwa malaika na kwa wanadamu Neno "ulimwengu" ni jumla ya viumbe vya kiroho (malaika) na viumbe vya asili (wanadamu). kwa hiyo anataja vitu vitatu: kwa ulimwengu, kwa malaika, na kwa wanadamu