# Kwa sababu kile Mungu alichofanya Hii inaonyesha kazi ya Kristo msalabani. # Sisi... yetu Paulo anajumlisha wale waliotumika naye, pamoja na wakorintho # Kristo Yesu, ambaye amefanyika hekima kwa ajili yetu kutoka kwa Mungu Hapa inaweza kumaanisha: 1) " Kristo Yesu aliyedhihirisha wazi kwetu jinsi Mungu alivyo wa Hekima" au 2) Kristo Yesu aliyetupatia Hekima ya Mungu" # Anayejisifu, ajisifu katika Bwana "Kama mtu anajisifu, anapaswa kujisifu kuhusu jinsi Bwana alivyo mkuu."