# hali ya chini na kilichodharauliwa watu ambao dunia imewakataa."Watu ambao ni wanyenyekevu na kukataliwa." # Vitu ambavyo vimehesabiwa kuwa hakuna kitu "Vile ambavyo watu kawaida huhesabiwa havithaminiwi" # vitu vilivyo na thamani "Vitu ambavyo watu kwa kawaida huvithamini"au "Vitu ambavyo watu hudhani vina thamani au vinathaminiwa." # Alifanya hivi "Mungu alifanya hivi"