# Sentensi Unganishi Paul anasisitiza Hekima ya Mungu dhidi ya hekima ya kibidamu # ujumbe wa msalaba "Mahubiri kuhusu kusulubiwa"au "ujumbe kuhusu kufa kwa Kristo msalabani." # ni upuuzi "haina maana" au "ni upumbavu" # Kwa wale wanaokufa Hapa "kufa" inamaanisha hatua ya kifo cha kiroho. # ni nguvu ya Mungu " Mungu anafanya kazi katika utu wetu wa ndani" # Nitaiharibu hekima ya wenye busara " nitaharibu busara za watu" au " nitaifanya mipango ya watu wenye busara isifanikiwe kabisa"