# yameandikwa katika historia ya Samweli nabii, katika historia ya Nathani nabii, na katika historia ya Gadi nabii Hii ni kazi isiyo kuwepo tena. # Yalio ekwa kwenye kumbukumbu ni matendo "Mtu mmoja aliandika hapo matendo" # matendo ya utawala wake "mambo yaliyo tokea wakati Daudi akiwa mfalme" # mambo yalio mdhuru "Mambo ya mataifa mengine yaliyo hathiri Israeli"