# utii "uaminifu wao" # Yahweh alimheshimu sana Sulemani na kumkirimia nguvu kubwa Hii mistari miwili inasisitiza kuwa Sulemani alipokea upendeleo maalumu kutoka kwa Yahweh, uliyo mfanya mfalme mkubwa na mwenye nguvu wa Israeli.