# Maelezo ya Jumla Daudi anaendeleza maombi yake sifa kwa Yahweh # Mkononi mwako kuna nguvu na uwezo Maneno "nguvu na "uwezo" yana maana moja na yanasisitiza ukuu wa nguvu za Yahweh.