# mawe ya shohamu Haya ni mawe yenye mistari meupe na meusi yanayo tengenezewa mikufu. # kupangwa Hii ina maana ya mifumo mizuri ya urembo iliyo undwa na mawe.