# masharti Haya yalikuwa maagizo maalumu kuhusu jinsi makuhani na Walawi wafanye kazi katika hekalu. # viitengo Hii ya husu makundi ambayo makuhani na wafanya kazi wengine wa hekalu walikuwa wamepangwa kufanya kazi zao. Ona jinsi ulivyo tafsiri hili neno 24:1