# baraza la hekalu "baraza ya hekalu" au "mwingilio wa hekalu" hii ina eleza nguzo zilizo saidia dari katika mwingilio wa hekalu. # hazina vyumba vya hifadhi vya vitu vya thamani