# akainuka kwa miguu yake "alisimama juu" # kaka yangu na watu wangu Mistari hii miwili inashiriki maana moja na kuweka mkazo kuwa Daudi na watu wa Israeli ni ndugu. # sanduku la agano la Yahweh;stuli ya miguu kwa ajili ya Mungu wetu Mstari wa pili unaelezea mstari wa kwanza. Yahweh mara nyingi inaelezea "sanduku la agano" kama "stuli yake ya miguu." # hekalu kwa jina langu "hekalu kwa ajili yangu" # mwanaume wa vita na umemwaga damu Maelezo yote yanahamasisha kitu kimoja , kwamba Daudi aliuwa watu. # umemwaga damu "aliuwa watu"