# Azimavethi ... Zabdi Haya ni majina ya wanaume. # mhusika wa "wajibika kulinda" # minara iliyo imarishwa "nguzo imara" # walio lima ardhi Hii ina maana ya kuchimba au kutufua udogo kabla ya kupanda # Shefamu Hili ni jina la sehemu.