# Maharai ... Zera ... Heldai ... Othnieli Haya ni majina ya wanaume. # mwezi wa kumi Huu ni mwezi wa kumi wa kalenda ya Kiebrania. # Netofa ... Pirathoni Haya ni majina ya sehemu. Ni wakati wa mwisho wa mwezi Desemba na mwanzo wa mwezi Januari katika kalenda za Magharibi. # wanaume elfu ishirini na nne wanaume elfu nne "wanaume24,000" # mwezi wa kumi na moja Huu ni mwezi wa kumi na moja wa kalenda ya Kiebrania. Ni wakati wa mwisho wa Januari na mwanzo wa Februari kwa kalenda za Kimagharibi. # mwezi wa kumi na mbili Huu ni mwezi wa kumi na mbili wa kalenda ya Kiebrania. Ni wakati wa mwisho wa Februari na mwanzo wa Machi kwa kalenda za Kimagharibi.