# Mkuu kwa mwezi wa nne alikuwa Asaheli kaka wa Yoabu "Asaheli, kaka wa Yoabu, alikuwa mkuu wa mwezi wa nne" # mwezi wa nne Huu ni mwezi wa nne wa kalenda ya Kiebrania. Ni wakati wa mwisho wa Juni na mwanzo wa Julai kwa kalenda za Kimagharibi. # Asaheli ... Ikeshi Haya ni majina ya wanaume. # kikosi chake "kundi lake la jeshi" # wanaume elfu ishirini na nne wanaume elfu nne "wanaume 24,000" # mwezi wa tano Huu ni mwezi wa tano wa kalenda ya Kiebrania. Ni wakati wa mwisho wa Julai na mwanzo wa Agusti kwa kalenda za Kimagharibi. # mwezi wa sita Huu ni mwezi wa sita wa kalenda ya Kiebrania. Ni wakati wa mwisho wa Agusti na mwanzo wa Septemba kwa kalenda za Kimagharibi. # Tekoa Hili ni jina la sehemu.