# mwezi wa pili Huu ni mwezi wa pili wa kalenda ya Kiebrania. Ni wakati wa mwisho wa Aprili na mwanzo wa Mei kwa kalenda za Kimagharibi. # Dodai ... Amizabadi Haya ni majina ya wanaume. # kikosi chake "katika kundi lake la jeshi" au kundi la wanajeshi wake" # wanaume elfu ishirini na nne wanaume elfu nne "wanaume 24,000" # mwezi wa tatu Huu ni mwezi wa tatu wa kalenda ya Kiebrania. Ni wakati wa mwisho wa Mei na mwanzo wa Juni kwa kalenda za Kimagharibi. # wale thelathini Ona jinsi ulivyo tafsiri 11:10