# Izhari ... Hebroni Ona jinsi ulivyo tafsiri haya majina 23:12 # mambo ya ndani ya Israeli Hii ya husu shughuli za watu wa Israeli, haya uhusiano na jeshi wala hekalu. "shughuli za watu wa Israeli" # Kenania ... Hashabia Haya ni majina ya wanaume. # wanaume wenye uwezo 1,700 "wanaume elfu moja na mia saba wenye uwezo" # kazi ya Yahweh na kazi ya mfalme "kazi iliyo fanywa ya Yahweh na mfalme"