# Obedi Edomu kulipangiwa lango la kusini, na wanae walipangiwa nyumba za ghala "Obedi Edomu ilikuwa na wajibu wakulinda lango la kusini, na wana wake walilinda nyumba za ghala" # Obedi Edomu Ona jinsi ulivyo tafsiri 26:4 # Shupimu Hili ni jina la mwanamume # Hosa Ona jinsi ulivyo tafsiri 26:10 # Shalekethi Hilil ni jina la lango. # Lindo lilikabiidhiwa kwa kila familia. "Kila familia ilikuwa na wajibu wakulinda kitu"