# Maelezo ya Jumla Hii yaendeleza orodha ya walinzi wa lango iliyo anza # Shemaia ... Obedi Edomu Ona jinsi ulivyo tafsiri 26:4 # ndugu zake " ndugu wa Shemaia" au "ndugu wa familia ya Shemaia" # Othini, Refaeli, Obedi ... Elizabadi ... Elihu ... Semakia ... Haya ni majina ya Wanaume. # sitini na mbili wawili "wanaume 62" # jumla ya kumi na nane "jumla 18"