# Maelezo ya Jumla Hii yaanza orodha ya walinzi wa lango # Wakora Ona jinsi ulivyo tafsiri 9:17 # Meshelemia Ona jinsi ulivyo tafsiri 9:20 # Kore Ona jinsi ulivyo tafsiri 9:17 # Asafu Hili ni jina mbadala la "Ebiasafu" 9:17 # Zekaria Ona jinsi ulivyo tafsiri 9:20 # Yediali ... Zebadia ... Yathnieli ... Elamu ... Yehonani ... Eliehoenai Haya ni majina ya wanaume # wa pili ... watatu ... ya nne ... wa saba Hii yaonyesha utaratibu ya wana kuzaliwa. "namba 2 ... namba 3 ... namba 4 ... namba 7" au "afuatae" kwa kila mmoja.